Pages

Tuesday, April 23, 2013

NEW HIT:-KR MULLAH FT JUMA NATURE - TUPO TAYARI


Ni ngoma mpya kutoka kwa msanii KR Mullah .KR ambae alikuwa kimya kidogo kwenye muziki, akiwa ni mmoja wa wasanii waliounda kundi la TMK Wanaume Family, na baadae kujitoa ... ameachia ngoma hiyo inayojulikana kama TUPO TAYARI ...
Katika ngoma hii, KR amemshirikisha msanii anayeunda nae kundi moja la WANAUME HALISI .

0 maoni:

Post a Comment

Labels