Pages

Wednesday, April 17, 2013

BEBE COOL KURUDI KWENYE GAME TENA.......STAY TUNED


Msanii kutoka Uganda maarufu kama Bebe Cool ambae kidogo amekuwa kimya kwenye muziki nchini humo yuko tayari kuachia nyimbo zake nyingine .
 
Bebe Cool ambae hapo nyuma alitamba na baadhi ya ngoma zake nyingi kama Agenze, I Don't Wanna Be Lonely na nyinginezo yuko mbioni kuachia kazi zake mpya ambapo zitaenda sambamba na video za kazi hizo.

Bebe Cool ameandika,.. ''STARTING THIS WEEK I BEGIN SHOOTING MY VIDEOZ N AMA SHOOT TWO THIS WEEK N TWO NEXT WEEK,BUT I AM GOING TO RELEASE THREE MORE SONGS NEXT WEEK JUST TO PRUV HOW GOOD I CAN BE WHEN AM ANOID .

THE MORE U ANOY ME,THE MORE AL HIT U UP WITH MORE GREAT SONGS HIT AFTER HIT,STYLE AFTER STYLE, TILL I SUFFORCATE THE INDUSTRY .

SO DON'T MEK ME DO THIS.KOKODIOSIS IS ALREADY A HIT,DON'T TRY ME KOZ AL RELEASE "NAMUJINGA"ate agenda abalyeko ebikajjo byamye byoooooonnnnnnnaaaaa.gagamel for eveeeeeeeeer''

0 maoni:

Post a Comment

Labels