Pages

Wednesday, April 10, 2013

MAPITO NI UJIO MPYA WA LORD EYEZ


Msanii Lord Eyez toka kundi la Nako 2 Nako lenye makazi yake jijini Arusha hivi karibuni anatarajia kuachia ngoma yake mpya aliyoifanya kwa P Funk Majani (Bongo Records) inayokwenda kwa jina "MAPITO" ndani akiongelea mengi na hasa ishu iliyomkuta akiwa DSM.

Lord anasema anampango wa kuachia ngoma hiyo Alhamisi ya wiki hii na hivyo kuwataka fans wake wasubirie mzigo huo na kujua ni kipi amewaandalia kwa awamu hii..!!

0 maoni:

Post a Comment

Labels