Pages

Wednesday, April 17, 2013

MALI ZA GOLDIE ZITAKAZOPIGWA MNADA MWEZI UJAO


  Kwa mujibu wa Familia ya marehemu Goldie ambaye alikuwa ni muimbaji pia na aliwakilisha Nigeria katika mashindano ya BBA mali zake zitapigwa mnada mapema mwezi ujao.
 
Hii inatokana na wosia ambao aliuandika kabla ya kufariki na Hivi ni baadhi ya vifaa ambavyo vitapigwa mnada

0 maoni:

Post a Comment

Labels