Pages

Tuesday, April 09, 2013

PICHA:-MAMA MJAMZITO ADONDOKA GHOROFANI

Msichana huyu Mjamzito alianguka toka kwenye ghorofa ambapo mme wake anafanyakazi kama mjenzi.

Kwa sasa yupo mahututi, na tumuombee tukiamini maombi yetu kwa Mungu yatasaidia kumponya...Tutawaletea Habari zaidi Baada ya Kupata Mkasa Mzima.

0 maoni:

Post a Comment

Labels