Pages

Friday, April 12, 2013

Lady JayDee ambae pia anamiliki Machozi Band, anatarajia kuingiza album yake mpya sokoni ..

 
Mwanamuziki Lady JayDee ambae pia anamiliki Machozi Band, anatarajia kuingiza album yake mpya sokoni ...

Jaydee ambae kwa sasa anafanya vizuri na track yake ya Joto, Hasira akiwa amemshirikisha rapper Prof. Jay anatarajia kuingiza sokoni album yake hiyo ambayo itakuwa ni ya sita ...

Tangu aanze muziki, hii ni ya sita ambapo pia album hiyo itakwenda kwa jina la ''Nothing But Truth''. 

0 maoni:

Post a Comment

Labels