Pages

Friday, April 12, 2013

Viwango vya soka vya FIFA kwa timu za Afrika Mashariki kama ilivyotolewa jana.

1. Tanzania awali Ilikuwa na pointi 263 na sasa pointi 305,

imepanda kwa nafasi 3 toka 119 hadi 116.

2. Uganda awali Ilikuwa na pointi 427 na sasa pointi 417, imeshuka kwa nafasi 7 toka 84 hadi 92.

3. Kenya awali Ilikuwa na pointi 247 na sasa pointi 266, imepanda kwa nafasi 4 toka 118 hadi 122.

4. Burundi awali ...Ilikuwa na pointi 253 na sasa pointi 261 na imeendelea kubaki nafasi ya 124.

5. Rwanda awali Ilikuwa na pointi 228 na sasa pointi 219, imeshuka kwa nafasi 3 toka 132 hadi 135.

Viwango vya soka vya FIFA kwa timu za Afrika Mashariki kama ilivyotolewa jana. 1. Tanzania awali Ilikuwa na pointi 263 na sasa pointi 305, imepanda kwa nafasi 3 toka 119 hadi 116. 

2. Uganda awali Ilikuwa na pointi 427 na sasa pointi 417, imeshuka kwa nafasi 7 toka 84 hadi 92. 

3. Kenya awali Ilikuwa na pointi 247 na sasa pointi 266, imepanda kwa nafasi 4 toka 118 hadi 122. 

4. Burundi awali Ilikuwa na pointi 253 na sasa pointi 261 na imeendelea kubaki nafasi ya 124. 

5. Rwanda awali Ilikuwa na pointi 228 na sasa pointi 219, imeshuka kwa nafasi 3 toka 132 hadi 135.

0 maoni:

Post a Comment

Labels