Bi Denisia Mangwea.mama mzazi wa msanii Albart Mangwea
MAMA mzazi wa marehemu Albart Keneth Mangwea Bi Denisia Mangwea[63] leo asubuhi ameanguka ghafla baada ya kupoeka taarifa kwamba mwili wa mtoto wake Albeth umeshindwa kuwasili nchini ukitokea Afrika ya kusini.
Mtandao huu leo mchana ulipokea taarifa z a tukio hilo ambapo ambapo dada mkubwa wa Albeth Bi Magreth Mangwea alipoulizwa alithibitisha mama yake kuanguka ghafla baada ya kusikia mwili wa mpendwa mtoto wake umeshindwa kuwasili nchini.

Huku Pilika pilika za maandalizi ya kupokea mwili wa Albert Mangwea zikiendelea kwa sasa nyumbani kwao Kihonda Mazimbu Road
" Ni kweli leo asubuhi mama alipoamka tu kauli mwilim wa mwanae umeshafika Dar es salaam alipoambia bado haijasika aliangua kwa presha na kwa sasa amelazwa hospita ya mkoa wa Morogoro akiendelea na matibabu mchna huu nimetoka huko amezinduka na anaendela vizuri kwa sasa na kwamba muda wowote anaweza kutolewa hospital"alisema Bi Magreth huku akiangua kilio.
Mwandishi wa habari hizi alifika katika hospital hiyo na kukuta mama huyo mtaratibu akijianda kupewa ruhusa ya kurejea nyumbani
Kwa taarifa zaidi endelea kutembea mtandao huu ambao kwa sasa umetega mitambo yake nje ya hospital hiyo ukisaka picha za mama huyo akiwa eneo hilo la hospital.
STORI NA DUSTAN SHEKIDELE MOROGORO.
CHANZO:-http://thechuma.blogspot.com
0 maoni:
Post a Comment