Pages

Tuesday, July 02, 2013

TAZAMA PICHA YALIYOJIRI LEO ASUBUHI JIJINI DAR

Picha ya Ubungo asubuhi hii, magari ya abiria na binafsi yanayotoka maeneo ya Kimara yanatakiwa kuishia kituo cha Rombo alafu watu watembee kwa mguu mpaka Ubungo ambako kuna ulinzi mkali kwenye ziara ya Obama, bodaboda wanatoza elfu 5 mpaka 6 kukupeleka Ubungo.

0 maoni:

Post a Comment

Labels