Pages

Wednesday, July 17, 2013

ICE PRINCE SASA ANATARAJIA KUFANYA NGOMA YAPAMOJA NA FRENCH MONTANA

Msanii bora wa Kimataifa kutoka Afrika kwa mujibu wa tuzo za BET 2013, Ice Price kutoka nchini Naijeria, anatarajia kufanya ngoma ya pamoja na French Montana kutoka Marekani, Kazi ambayo inatarajiwa kuwa moja ya hits za ukweli sana hasa ukizingatiwa uwezo wa wasanii hawa wawili.
Ice Prince ambaye hivi sasa yupo ziarani nchini Marekani bado hajaweka wazi taarifa zaidi kuhusu wimbo huo ambao hivi sasa wakali hao wanaofanyia kazi studio.
Ice Prince, French Montana

0 maoni:

Post a Comment

Labels