Pages

Tuesday, July 30, 2013

NEW SONG | NEY LEE The Super Nyota - NIPE MUDA


Super Nyota kutoka Mbeya Nay Lee amedondosha joint nyingine mpya "Nipe Muda" chini ya mikono ya Producer Mswaki.

Nay Lee ni msanii alietokana na shindano la Super Nyota lililofanyika kwa ajili ya kukuza vipaji vya vijana waliomiutaani ambapo alishinda na kuwakilisha mkoa wa Mbeya na kutoka Mwanza Young Killer Msodoki ndiye aliyekuwa mshindi.

Nipe muda ni single ya nyingine ya Nay Lee baada ya kuachia "Umeenda" uliofanya vizuri katika media mbali mbali.

0 maoni:

Post a Comment

Labels