Pages

Saturday, July 13, 2013

MSANII MWENYE UMRI MDOGO [16] KUTOKA MAREKANI NYOTA YAKE YAANZA KUNG'ARA

Ana umri wa miaka 16 tu na tayari amekwishaanza kuingia katika spotlight za industry ya muziki wa rap kimataifa, Meet the talented Bi$hop Nehru

Huyu ndiyo artist ambaye ana umri wa miaka 16 tu kutoka Marekani, anakwenda kwa jina Bishop Nehru, na tayari wachambuzi wa mambo wamekwishamtaja kama msanii chipukizi wa kuangalia sana baada ya kuona nyota yake ikishine ndani ya muziki wa rap.

0 maoni:

Post a Comment

Labels