Pages

Wednesday, July 17, 2013

Baada ya kukomaa miaka kibao kwenye game, Fahamu hapa jinsi wanazuoni walivyomvuta Nas

Chuo Kikuu cha Havard kimempatia heshima kubwa rapa Nas kwa kukubali kufanya naye kazi kuendesha Programu ya kuhamasisha umuhimu wa elimu kwa jamii kupitia sanaa, programu ambayo imepatiwa jina the Nasir Jones Hip-Hop Fellowship.

Msanii huyu amefunguka hivi karibuni kuelezea furaha yake kwa kufanikiwa kwa mpango huu ambao anahesabu kama moja ya mafanikio yake makubwa kabisa katika maisha yake mpaka sasa.

0 maoni:

Post a Comment

Labels