Pages

Saturday, July 13, 2013

Mchumba wa Nay wa Mitego akipoteza kichanga chake tumboni baada ya kuanguka

Nay wa Mitego leo anasherehekea siku ya kuzaliwa ya mchumba wake aliyekuwa mjamzito kwa huzuni mkubwa baada ya mchumba wake huyo kukipoteza kichanga chao kufuatia kuanguka jana usiku.Jana usiku mke wangu alianguka, alifikia tumbo kwahiyo akawa anasikia kizunguzungu nilipompeleka hospitali daktari akasema mtoto amekufa,” Nay ameiambia Bongo5.
Awali, Nay wa Mitego ameweka picha ya mchumba wake kwenye Instagram akiwa hospitali na kuandika: Happy bday my lv, Mungu akupe maisha marefu na yenye mafanikio tele. Japo imekukuta uko vibaya tumempoteza kijacho but ni mipango ya mungu, nakupenda sana mke..!! #966# happy bday 2u ma.”
 
Habari na Bongo5.com

0 maoni:

Post a Comment

Labels