Pages

Saturday, July 13, 2013

ANGALIA MIPANGO YA NELLY YAKUTAKA KURUDISHA HESHIMA KATIKA GAME


Nelly... staa wa muziki ambaye kwa sasa ana project kalin ya movie akiwa ameshirikiana na mwigizaji Mkongwe, Sylvester Stallone, ameweka wazi kuwa kazi hii kwa sasa tayari imekwishakamilika na jina la movie hii ni "Reach Me".
Kazi hii pamoja na albam mpya ya muziki ya msanii huyu inayokwenda kwa jina M.O. ambayo ndiyo anashughulikia kuikamilisha kwa sasa, ni moja ya vitu ambavyo vinatarajiwa kumngarisha msanii huyu na kumrudisha katika level ambayo amekuwa katika kipindi kilichopita ndani ya industry ya buurdani.
Sylvester Stallone, director John Herzfeld, Nelly, Buddy Patrick

0 maoni:

Post a Comment

Labels