Pages

Tuesday, July 30, 2013

MSHIRIKI WA BBA KUTOKA TANZANIA NANDO ATIMULIWA KATIKA MASHINDANO


Mshiriki wa BBa aliekuwa anawakilisha Tanzania "Nando" ameondolewa katika mashindano ya BBA "The Chase" mda mchache tu baada ya mshiriki Anabel (Kenya) na Sulu (Zambia) kuaaga mashindano hayo Jumapili hii.

Mshiriki yoyote ambae ataleta vurugu (kupigana) atatolewa ndani haraka sana, vurugu inaweza kuwa kwako mwenyewe, ama dhidi ya mwingine, na inajumuisha uchokozi, uonevu na kumyanyasa mtu" amesema Biggie baada ya kuwaita washiriki wote na kuwaambia habari kuhusu Nando.
Msimu huu Big Brother ameweka three strike rule ambayo inatumika kwa housemates ambae anafanya uvunjifu na ukiukwaji mkubwa wa sheria za biggie.

Kwa usiku wa jana Nando alipokea strike ya pili na Elikem akalindwa na strike ya kwanza. Baadae Nando aliitwa ndani ya Diarry room, na akapewa strike yake ya tatu kwa kutishia maisha ya Elikem kwa kusema.

 "I feel like stabbing him. A nigga like that deserves to die". (nahisi  kumchoma, niga kama huyu anastahili kufa)

Nando pia alikutwa akiwa amelala na mkasi chini ya kitanda chake na hii si mara ya kwanza kukutwa na silaha ndani ya jumba la BBA, mwezi uliopita alipokea onyo kutoka kwa Biggie baada ya kukutwa akiwa amebeba Kisu kwenye party ya Channel O. Kumiliki silaha au kuwa na dhumuni la kufanya vurugu dani ni ukiukwaji wa sheria za Big brother.

Baada ya Diary Session Big Brother alimwamia Nando kuondoka haraka sana na kuwaonya waliobaki kujiheshim kama watu wazima.



Press Release

After breaking the rules relating to violence and provocation, tonight (Sunday July 28) saw Big Brother The Chase housemate Nando disqualified from the 91 day reality show. This season Big Brother has been issuing strikes to housemates for inappropriate behavior with three strikes resulting in disqualification from the game. The 22-year-old from Tanzania was issued a first strike in week five of the show for carrying a knife to a Big Brother party. Following an altercation with fellow housemate Elikem late on Friday night, today Big Brother issued two more strikes against him – one for provocation and one for concealing a pair of scissors in his bed after the argument. With three strikes, Big Brother tonight disqualified Nando from the game. For his part in Friday’s altercation, Elikem was also issued a strike by Big Brother, his first in the game. Given that M-Net and show producers Endemol, are committed to ensuring the safety of all housemates in the Big Brother house, they view such incidents in a serious light and will continue to take the necessary actions against housemates who break the strict rules prohibiting violence in the Big Brother house.

0 maoni:

Post a Comment

Labels