Pages

Sunday, July 14, 2013

Latino Nation Kutoka B’Hittz Kuachiwa Jumatatu Hii



“LATINO NATION” ni ngoma nyingine mpya kutoka katika studio ya B’Hittz ambayo inatarajiwa kuachiwa siku ya kesho ambayo ni Jumatatu.

Vichwa ambavyo vimeshiriki katika ngoma hiyo ni Dj Choka, Mrap, Deddy, Mabeste pamoja na Gosby. Hii ni project nyingine mpya kutoka kwa msanii Dj Choka ambapo project ya mwisho ilikuwa ni ile ya Press Play ambayo ilifanya vizuri sana katika media mbali mbali.

Endelea kutembelea GongaMx ili uwe wa kwanza kuisikia ngoma hii ya Latino Nation.

0 maoni:

Post a Comment

Labels