Watu
mbalimbali ambao wamesoma sakata hili kwenye vyombo vya habari, walitoa
maoni yao wakisema kuwa watu wanaotakiwa kuwajibishwa ni waliokuwa
uwanjani hapo siku Masogange aliposafiri na kuruhusu mizigo ya mrembo
huyo na mdogo wake, Melisa Edward ipite bila ukaguzi makini.
“Kuna uwezekano kabisa wa kuwajua watu hao,” alisema msomaji wetu, Mbande Kinaka, mkazi wa Kariakoo, Dar.Risasi Jumamosi lilimtafuta Mkuu Kitengo cha Kudhibiti Madawa ya Kulevya Tanzania, Kamanda Godfrey Nzowa, alipopatikana na kuulizwa namna ya kuwabaini waliomruhusu Masogange akapenya na mzigo airport, alisema lazima watawapata.
0 maoni:
Post a Comment