Pages

Tuesday, July 30, 2013

Huyu ndiye mwigizaji wa kike wa kwanza kwa kulipwa pesa nyingi, Fahamu hapa ni shilingi ngapia analipwa kwa kutokea katika muvi

Mwigizaji mkongwe, Angelina Jolie ametajwa kama ndiye mwigizaji wa kike anayelipwa zaidi duniani licha ya mwanadada huyu kutokutokea katika filamu hususan katika nafasi ya uhusika mkuu toka mwaka 2010 katika filamu maarufu ya 'The Tourist'.


Kutoka katika ripoti ya Forbes ...offcourse, Jolie katika kipindi cha mwezi June mwaka jana na June mwaka huu, ameingiza kiasi cha dola milioni 33, zaidi ya shilingi  bilioni 48 za kitanzania.

Za chini ya carpet zinaweka wazi kuwa, kutoka deal ya kushiriki katika filamu mpya 'Maleficent' pekee ambayo itatoka July mwaka kesho, jolie amelipwa dola milioni 15 ambayo ni zaidi ya shilingi bilioni 24 za ki-tanzania na pesa hizi zote ni pembeni ya deals nyingine alizonazo.

JFYI: Angelina Jolie pia analipwa dola milioni 10, zaidi ya shilingi bilioni 16 za kitanzania kwa kuwa balozi na uso wa bidhaa za brand maarufu ya Louis Vuitton.

0 maoni:

Post a Comment

Labels