Moja ya habari zinazizungumzwa sana kwenye mtandao ni producer wa miaka 16 WondaGurl,
ambaye ameshiriki katika kutengeneza beat kwenye albam ya Jay Z Magna Carta… Holy Grail. Ambayo imetangazwa platinum
Ebony Oshunrinde aka WondaGurl mcanada mwenye asili ya Nigeria jina jipya katika production ya beat za hiphop ametengeneza track ya “Crown,” kutoka kwenye albam ya jay z WondaGurl alianza kutengeneza beats tangu akiwa na miaka 9 alijifunza kupitia video clip na ilikuwa inspired za timbaland.akiwa na miaka 14 alishriki mashindano ya kutengeneza beats mjini Toronto/ Battle of the Beatmakers /lakini akaishia robo fainali lakini alishiriki tena mwaka uliofuatia na akawa mshindi wa kwanza mafanikio alianza kuyapata baada ya kusign Black Box.
Jinsi alivyo kutana na Jay z
WondaGurl alimtumia track rapper kutoka Houston Travi$ Scott ambaye alimjibu alimjibu siku chache baadae kwa kumwambia ‘nataka kubadilisha maisha yako “I’m about to change your life.” Scott alimsikiliza track hiyo Jay-Z,kasha akampigia na kumwambia ‘upo kwenye albam ya jay z ,hongera “You are on Jay Z’s album, congratulations.”

WondaGurl ambaye mama yake ni mnaigiria Jozie Oshunrinde akizungumzia mafanikio yake amema mama yake alikuwa anasisitizia aendelee kusoma ata baada ya kusinda mashindano ya kutengeneza beats /Battle of the Beatmakers / ‘niliakikisha napewa credits kwenye kazi zangu coz pila kufanya hivyo kulikuwa na uwezekano mama yangu kutupa vifaa vyangu wa muziki..
Ili kufahamu zaidi unaweza kum follow kupitia @WondaGurlBeats.
0 maoni:
Post a Comment