Pages

Monday, July 15, 2013

Dj Pq kuiwakilisha Tanzania ndani ya Big Brother The Chace 2013

Dj Pq, (Peter Chasama) kutoka Clouds Media Group, anatarajiwa kupiga ndani ya Big Brother House nchini South Africa, mwaka huu, ambapo atapiga siku ya jumamosi kuwapa shangwe housemates, pamoja na siku ya jumapili ikiwa ni eviction night. 
 
Dj Pq aliwahi kufanya kazi na kipindi cha XXL Clouds Fm, lakini kwasasa unamuona kupitia kipindi cha Cloud 9 kupitia Clouds Tv.Pq 
Kama unakumbuka mwaka 2012, katika session ya ma Dj, kutoka Tanzania tuliwakilishwa na the one and only best femaly Dj in Tanzania, Dj Fetty, na kutupia shangwe za hatari kwa housemates, ambapo alipiga siku mbili mfululizo, jumamosi na siku ya eviction ambayo ni jumapili.
 
All the best to you, najua utakamua sanaaaaa. Noumer sanaaaa

0 maoni:

Post a Comment

Labels