Pages

Tuesday, July 02, 2013

MAMA NORTH WEST [KIM KARDASHIAN] AMPATIA MMEWE [KANYE WEST] ZAWADI YA KIHISTORIA


Hii ndiyo zawadi ya Kim Kardashian kwa baba mtoto wake, Kanye West katika siku ya wakina baba duniani, Mouse/Vipanya viwili vya computer brand ya apple ambazo zimesainiwa na wagunduzi wa kampuni hiyo ya Apple, Steve Jobs pamoja na Steve Wozniak.
Steve Wozniak, Steve Jobs
Imefahamika pia katika Siku ya wakina Baba Duniani, Steve Wozniak aliwapatia Kim na Kanye heshima ya kuwatembelea nyumbani kwao na pia kumwona mtoto wao - North West.

Kanye West ndiye aliyeamua kuweka zawadi hii wazi kupitia mtandao wa Twitter ili kuwafahamisha mashabiki wake kote duniani.

0 maoni:

Post a Comment

Labels