Pages

Tuesday, July 09, 2013

LIL WAYNE KWA KUSHIRIKIANA NA KAMPUNI YA SUPRA-SPRECTRE SUPRA WAMETAMBULISHA RANGI MPYA AMBAYO NDIO KWANZA INATOKA ''NJANO'

Miezi michache baada ya Lil Wayne kutambulisha brand mpya ya viatu  “Chimera” anavyotengeneza kwa kushirikia na na kampuni ya Supra - Sprectre Supra ambavyo kwa awamu ya kwanza vilitoka katika rangi tatu tofauti -  Nyeusi, Nyeupe na Grey, Sasa rapa huyu ametambulisha mguu huu katika rangi mpya ambayo ndio kwanza imetoka.

Kwa wale ambao wana-feel sneakers, Story ni kwamba kwa sasa Chimera Sprectre Supra zinapatikana katika rangi ya njano na ndiyo trend kwa sasa katika market.... Thats Whats Up!!!



Even the President [Sam misago wa EATv na EA Radio] got himself 'white pair' of the brand;

0 maoni:

Post a Comment

Labels