Pages

Saturday, November 17, 2012

A.Y AMETWAA TUZO AFRIKA KUSINI


Msanii wa Bongo Fleva almaarufu kama  A.Y leo huko nchini South African amechukua Tuzo ya kwanza katika kipengele cha Most Gifted East African video of the Year
A Y aniwakilisha Tanzania akiwa na msanii mwenzake CPWAA  

Na hii ndiyo list ambayo alikuwa akichuana nayo katika kuwania tuzo hizo

Most Gifted East African video of the Year

  • Keko Feat. Madtraxx – Make You Dance
  • Camp Mulla – Party Don’t Stop
  • AY feat Sauti Soul – I Don’t Want To Be Alone
  • K’Naan Feat. Nas – Nothing To lose
  • Navio – One & Only

0 maoni:

Post a Comment

Labels