Pages

Friday, August 16, 2013

SNURA AWAVURUGA MASHABIKI WAKE CLUB 71 TEGETA

 Yule mwanadada mwenye mbuno za kutosha SNURA usiku wajana aliwavuruga wakazi wa tegeta kwa show kali sana kiasi kila aliekuwepo katika ukumbi huo wa tegeta alikubali kazi ya huyo dada kazi ilikuwa pale alipotambulisha wimbo wake mpya wa nimevurugwa kufikia sehemu ya chorus watu wote walikuwa wanaimba nimevurugwa.alipowamaliza kabisa alipopiga wimbo wa majanga na tunda man alipoingia kama suprise kumsaport dada yake snura na goma lake la dem sio swangwe ziliongezeka zakutosha sana.
 SNURA,TUNDAMAN
 SNURA
 TUNDA MAN akiamsha na miuno ya snura live kwenye stage




 Ndio yuleyule wa NAI NAI na BAADAEeeee full kaladi ilikuwa hatari sana club 71
 mtu mzima anatunza huku mkono kumpuuuuuuu.............mbu
 miuno miuno
 mashabiki mbalimbali wakifurahia show ya snura
 Mchizi kavurugwa na show ya snura kaamua kukaa chini kabisa duuu



 h-MBIZO Akiwakilisha kwenye stage
 Mtu mmoko hilali HAKUNAGA alikuwwepo kutoka kariakoo mpaka tegeta kuangalia show ya SNURA

0 maoni:

Post a Comment

Labels