 |
Camp Mulla |
Album ya kwanza ya kundi la wasanii kutoka Kenya ,Camp Mulla ipo tayari kutoka na siku yoyote wataitambulisha nchini Kenya.
Album hii inaitwa 'Funky Town' na itatolewa baada ya uzinduzi wa Video yao mpya ya 'Feel No Pain' kama walivyo tangaza kwenye twitter.
0 maoni:
Post a Comment