Pages

Friday, September 14, 2012

Mtoto anayesadikika kuwa ni wa JUMANATURE

Mtoto anayesadikika kuwa ni wa JUMANATURE

 
Kijana huyoalifika Clouds Fm na kudai kuwa yeye ni mtoto wa msanii Juma Nature na kujitambulisha kama Samson Juma Kassim Kiroboto, Samson anatokea Morogoro na kwa maelezo yake yeye amezaliwa mwana 1995.
 
"Mama yangu ameshafariki na nilishawahi kwenda mpaka kwa baba yangu Juma Temeke nikiwa na bibi yangu, lakini aliponiona tu akanifukuza akasema hataki kuniona tena " hayo ndio yalikua maelezo ya Samson.
 
unaona kuna kufanana na nature katika picha hiyo?

0 maoni:

Post a Comment

Labels