Pages

Saturday, September 01, 2012

UZINDUZI WA STUDIO YA KURECORD




Mkurugenzi wa VISION RECORDS Aldo Sanga amesema  mwishoni mwa mwazi oktoba mwaka huu atafanya uzinduzi wa Studio hiyo ya Kurekodi ambayo ipo Mkoani Njombe Wilaya ya Makete.

Katika uzinduzi huo utaambatana na kutafuta vipaji ndani na nje ya Wilaya kwahiyo kama unakipaji furusa niyako unachotakiwa ni kununua form ya kujiunga kwa Tsh 10000/= tu na form zitaanza kuuzwa mwishoni mwa mwezi Septemba 2012 hadi tarehe 20 Oktoba 2012 

Mchujo wakuwapata vinara utaanza mara baada ya kurejesha form za kujiunga,majaji watatoka sehemu mbalimbali kama Dodoma,Iringa na Njombe - Makete aidha watu watatu tu ndio watakao rekodi bure na kazi zao zitasambazwa na kusimamiwa na kampuni hiyo.

Mgeni rasmi atakuwa Mkuu wa Wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro na shughuli nzima itasimamiwa na kituo cha Redio Kitulo Fm cha Mjini Makete.




T-shirt za kampuni zitapatikana siku hiyo kwa bei nafuu, Uzinduzi utafanyikia katika ukumbi wa Fransic G.F.C.

Atakaye takakudhamini shughuli hiyo wasiliana na Mkurugenzi;0765 255 560 au 0653 255 564

0 maoni:

Post a Comment

Labels