Pages

Sunday, September 16, 2012

ZIJUE NYIMBO KUMI BORA KUTOKA AFRICA MASHARIKI

Hizi ni Kumi Bora za East Africa zinazoletwa kwenu DJ BRYHO kutoka PiliPili FM, kila siku ya Jumamosi nitakuwa nawaletea Kumi bora hizi na wasanii kutoka Tanzania mnaambiwa mnaweza kutuma nyimbo zenu ili ziweze kupigwa pale Mombasa na kuingia katika Kumi Bora za Africa Mashariki, tuma sasa wimbo wako katika email hii ya DJ Bryho ambayo ni evusa@pilipilifm.com au briarth@gmail.com

Sikiliza Pilipili FM online

0 maoni:

Post a Comment

Labels