Pages

Friday, September 07, 2012

USIKU WA MTANASHATI NDANI YA CLUB BILICANAS J’PILI TAREHE 9



Kundi zima la Watanashati litapiga show ya kufa mtu inatakayo ambatana na utambulisho wa nyimbo yao mpya na masurprize kibao, fanya kama unamjuza na rafiki yako halafu tukutane pale kati mjengoni jumapili hii.

0 maoni:

Post a Comment

Labels