Pages

Wednesday, September 12, 2012

NAJUA MZIGO MPYA WA SAM WAUKWELI.......COMIN' SOON

Mjukuu wa Bonele SAM WAUKWELI Anampango wakuachi Mzigo mpya Mwishoni mwa wiki hili ''NAJUA'' ni jina la ngoma hiyo mpya

Akizungumza jijini Dar es Salaam Sam kwa njia ya simu amesema anakamilisha uandaaji wa wimbo huo ambao anaamini utafanya vizuri kutokana na ujumbe uliomo

 Dr Leader na Sam Wa Ukweli....kwa pamoja kwenye picha
 “Naomba mashabiki wangu waendelee kunipa sapoti katika kazi zangu kwani kuna vitu vingi ambavyo nimewaandalia na wimbo huu utaanza kuonekana na kusikika mwishoni mwa wiki ijayo” alisema 

Pia Sam anatarajia kukwea pipa kuelekea Nchini Kenya Kupiga Show

0 maoni:

Post a Comment

Labels