Pages

Thursday, September 20, 2012

FILAMU MPYA YA KANUMBA NA JACKLINE WOLPER KUINGIA SOKONI MWEZI HUU

 


Kipenzi cha wengi marehemu Steven Kanumba ataendelea kukumbukwa na fans wake kutokana na kazi zake zinazoendelea kuingia sokoni.

NDOA YANGU ndio jina la filamu mpya ya Kanumba aliyoigiza na star wa kike  Jackline wolper.

Kampuni ya Steps Entertainment ambayo inajihusisha na usambazaji wa filamu za bongo ndio itakayosambaza filamu hiyo ya kwanza mpya kutoka kwa Kanumba toka afariki dunia mwezi April mwkaa huu.

Kama wewe ni shabiki wa Kanumba anza kuitafuta sokoni kuanzia tarehe 28 September 2012 ndio itaingia sokoni.
 
Na leotainment

0 maoni:

Post a Comment

Labels