Pages

Tuesday, September 11, 2012

“BAADA YA ‘CHECHERUMBA’ SASA MSANII ‘AMAZON’ KUJA NA ‘MAMITO’…!!





MSANII chipukizi anayetamba na kibao ngoma ya ‘Checherumba’, Justine Erick maarufu kama Amazon, amesema kuwa anatarajia kuachia nyimbo yake mpya inachokwenda kwa jina ‘Mamito’, huku video ya ngoma ngoma itakuja wiki chache baada ya audio kwenda sokoni.

Akiongea na mwandishi wa mtandao wa DarTalk msanii huyo alidai kuwa nyimbo yake ya kwanza ya ‘Checherumba’, imempa uwezo mkubwa wa kutunga nyimbo hivyo mashabiki wake watarajie kuona utofauti wa hali ya juu ndani ya hiyo mpya.

Alisema kuwa kikubwa alichozungumzia ndani ya ngoma hiyo ni mapenzi kwani anaamini hadithi zilizojaa sasa mtaani ni za mapeniz hivyo anafanya kazi ambazo zinahitajika sana kwa mashabiki wake

0 maoni:

Post a Comment

Labels