Pages

Sunday, September 16, 2012

VIDEO YA KARDASHIAN ILIMTEGA KANYE




Kanye West hivi karibuni ameimba kwamba umaarufu wa Kim Kardashian hujaanza leo bali tangu alipovuja mkanda wa video wa chumbani aliourekodi kimwana huyo na Ray J katika wimbo mpya ‘Clique’ aliowashirikisha Jay –Z na Big Sean

Lakini sasa mademu wa zamani wa rapa huyo wamelipua bomu kuhusu Kanye West kupenda kuangalia mkanda huo wa mwaka 2007 na kuutumia kumsha mizuka na kwamba jambo hilo lilimsaidia

Muimbaji huo pia alianika namna anavyompenda Kim Kardashian katika single ya ‘Perfect B tch ‘ aliyoitoa hivi karibuni

0 maoni:

Post a Comment

Labels