Pages

Saturday, September 01, 2012

CHAMBO JUMATATU NDANI TENA NA MAUMIVU.



Mkali wa ngoma ya Raba Raba sasa anarudi tena na Mzigo mpya Unaitwa MAUMIVU umefanyika katika Studio za Rocky Town Records chini ya The Hit Maker D CLASSIC.

Kazi hiyo itatambulishwa katika Vituo vifuatavyo vya Redio REDIO FREE AFRIKA na PASSION FM Usikose.

 

Napenda kuwambia washabiki wangu wangu baada ya ngoma ya RabaRaba jumatatu msikose kuckiliza passion fm na Radio free natambulisha ngoma mpya inayokwenda kwa jina la Maumivu msikose nawatakia kila kheri mashabiki wangu wote
· · · 2 hours ago ·


0 maoni:

Post a Comment

Labels