Pages

Thursday, September 13, 2012

PROJECT YA KUNDI LA WAKUBWA WAJIJI LEO INAACHIWA RASMI

Kundi linloundwa na Wasanii watano kutoka Mwanza "WAKUBWA WA JIJI" Leo wanaachia ngoma yao Mpya ambayo imefanyika katika Studio za K RECORD's chini ya muandaji LOLLIPO(LOLLY MWAAH)


LOLLIPOP NI THE HIT MAKER WA K RECORD'S

Hit hiyo inaitwa MUDA waliohusika ni MORE MUSIC,DOGO D A10 ambaye anafanya vizuri na ngoma yake ya ZAIDI YAO pia ABUU MKALI,OP MTATA NA KING SILVER Naye anafanya vizuri na hit ya UNGO WA BIBI

Kundi hilo litazinduliwa tarehe 22 septemba 2012 katika UWANJA WA CCM KILUMBA MWANZA pia watasindikizwa na wakali kama TIMBULO,RICH MAVOKO NA DIAMOND na mara baada ya uzinduzi kichupa kinafuata.

BAADAE UTAWEZA DOWNROAD NGOMA HIYO

0 maoni:

Post a Comment

Labels