Pages

Friday, February 22, 2013

JCB AFUNGA NDO NA MCHUMBA WAKE DIANA JORGENSEN

JCB afunga ndoa na girlfriend wake wa kitambo,Diana
Jorgensen 
ambae kwa sasa wanamtoto mmoja pamoja, huko jijini Arusha


 
Jcb akipitia makaratasi huku mke wake akicheza na pete na maua na mwanae
 
 


Baada ya kufunga ndoa, kinachofata huwa ni picha na hapa ni akiwa na ndugu jamaa na marafiki.
 
Kwa Hisani ya:-djfetty.blogspot.com

0 maoni:

Post a Comment

Labels