Pages

Thursday, February 14, 2013

TATTOO MPYA YA YOUNG D NA MAANA YAKE

Rapper Young Dee ambae kwa sasa anafanya vizuri katika muziki akiwa anatamba na ngoma yake ya ''Hujali'' ambayo ameshirikiana na Mr. Blue siku za hivi karibuni ameongeza michoro katika mwili wake.

Tattoo hizo ambazo amechora katika shingo na mkononi mwake na kudai kuwa hajutii kuchora tattoo hizo maana zina maana kubwa sana kwake.

Pia rapper huyo hakusita kutoa maana ya tattoo ya mkononi mwake, OMG [Over everything My head Got to make it easy] na kusema kuwa hiyo ndio tattoo anayoipenda sana.

0 maoni:

Post a Comment

Labels