Pages

Wednesday, February 20, 2013

JUACALI KUACHIA ALBUM YAKE YA TATU "TUGENGE YAJAYO"

 
Mkali wa Genge nchini Kenya Jua Cali anatarajia kuachia album yake ya 3 ambayo itaenda kwa jina la 'Tugenge Yajayo'.
 
Jua Cali anafahamika kwa ngoma kali kama 'Kwaheri', 'Mtoto wa geti kali', Baba Yao', 'Bidii' na nyingine kibao.

0 maoni:

Post a Comment

Labels