Nchi ya Nigeria Inaendelea kuwa Nchi ambayo Inatembelewa na Mastaa wengi Duniani.!! na mwezi huu katika Tv Star kim Kardashian ambae pia ni mpenzi wa Rapper Kanye West Ataitembelea Nigeria kwa Mara ya Kwanza hii ni mara Baada ya Kupata shavu la kuwa co-host wa Show ya Valentines Love Consert Itakayofanyika Februari 17,2013..Mastaa ambao watakuwa nae kwenye show hiyo ni pamoja na bwana harusi mtarajiwa si mwingine ni 2Face Idiba, Naeto C Na Jozi wa S.A...!! |
0 maoni:
Post a Comment