Pages

Tuesday, February 12, 2013

LULU KUFANYA PRESS CONFERENCE NA WAANDISHI WA HABARI SOON


Msanii wa Bongo Movie Elizabeth Michael maarufu kama Lulu sasa zimepita siku chache tangu  apate dhamana ya kuingia uraiani.

Habari kutoka kwa Dr Cheni ambaye ni mtu wa karibu sana na lulu,amesema kwamba kwa sasa wanachopanga ni kufanya Press Conference kati ya Lulu na waandishi lakini hakuweza kusema ni siku gani ila alimalizia kwa kusema watu wakae tayari kwa Press Conference hiyo.

0 maoni:

Post a Comment

Labels