Pages

Sunday, February 17, 2013

DJ CLEO AMEKIRI KWAMBA YUKO TAYARI KUFANYA KAZI NA OMMY DIMPOZ

Romy Jones, shemeji yetu VjPenny kwa     Diamond na Ommy  Dimpoz mwenyewe, Hii picha imepigwa na Diamond Platnums.

Staa wa bongofleva ambae mwaka huu ni miongoni mwa waliovunja rekodi ya kushika nafasi ya 1 kwenye chart zatop 20 za Redio mbalimbali Bongo Ommy Dimpoz ameondoka bongo leo kuelekea kwa Malkia kuifanyia kazi mialiko aliyoipokea.

Ommy Dimpoz alisema show za muziki anazokwenda kuzifanya U.K ndio zitamfanya achelewe kuanza kuifanyia kazi kolabo na Dj Cleo wa South Africa.

Dj Cleo amekiri kwamba yuko tayari kufanya kazi na Ommy Dimpoz, walishaongea lakini haikutokea ila hana tatizo kushirikiana na staa huyu wa ‘me and u’

0 maoni:

Post a Comment

Labels