Pages

Thursday, February 28, 2013

Police wameongeza ulizi wa rapper Rick Ross Baada ya Vitisho vipya dhidi ya maisha ya Rick Ross kuongezeka


Police wameongeza ulizi wa rapper Rick Ross Baada ya Vitisho vipya dhidi ya maisha ya Rick Ross kuongezeka.
 
Polisi wameongezeka kwenye msafara na Hotel alioshukia Rick Ross ya The London na wamekuwa wakiskiliza maongezi ya simu yake na kufatilia ratiba za rapper huyo mwenye Hood yake pande za Floida Miami.
Fahamu kuwa mwezi uliopita Rick Ross alinusurika kifo baada ya watu wasio julikana kufyatua risasi kwenye gari yake aina ya Rolls Royce akiwa anatoka kwenye party ya kusherekea siku yake ya kuzaliwa.

0 maoni:

Post a Comment

Labels