Pages

Wednesday, February 13, 2013

[AUDIO] Brand New: Banana Zorro ft. Baby Madaha & Chidi Beenz - Sio Kama Wale

 
Msanii mkongwe ambae anatoka kwenye familia ya kimuziki na kufanikiwa hadi kumiliki bendi yake ya muziki, yaani B-Band, Banana Zahir Ali Zorro sasa amerudi na ujio mwingine mpya na ameachia track yake mpya inayokwenda kwa jina la ''SIO KAMA WALE'' ambayo ameshirikiana na Baby Madaha na Chini Beenz kutoka La Familia-ILALA.

Katika taarifa nyingine: Siku ya tarehe 15 mwezi huu Banana anatarajia kufanya Launch Party ya track hii katika ukumbi wa Arcade House uliopo Mikocheni ambapo atasindikizwa na Top Band ili kufanikisha usiku huo kwa mashabiki wake.


0 maoni:

Post a Comment

Labels