Pages

Thursday, February 21, 2013

KATIKA KUENDELEA KUITANGAZA TANZANIA KATIKA MUZIKI HII PIA INAHUSIKA



KIONGOZI wa kundi la kudansi la nyumba ya kukuzia vipaji Tanzania ‘THT’,   Msami Giovann a.k.a ‘Msami’  hivi karibuni amepata mwariko katika kundi la Jump Rope Dancers & Double Dutch ‘Waruka Kamba’  wa Marekani,Lengo ni kuwafundisha mitindo ya Afrika hususani Tanzania.
Alisema mwaliko huo ameupata kutoka katika kundi hilo lililopo katika jimbo la Washington, Las Vegas, Ohio na baadaye kwenda kutembelea jiji la Newyork.
Habari kwa hisani ya:-bongounit.blogspot.com

0 maoni:

Post a Comment

Labels