Pages

Wednesday, February 20, 2013

Nikki Mbishi Atoa Offer Kutengeza Beats Kwa Wasanii Wenzake.

 
Rapper kutoka Label ya M-LAB, Nikki Mbishi ambae pia ni mtayarishaji wa nyimbo kutoka ndani ya studio za label hiyo, M-LABORATORY ametoa offer kwa wasanii wenzake.
Nikki "Baba Malcolm"a.k.a Play Boy, amefanya hiyo kwa wasanii wenzake wakiwemo wanaochipukia [undergraound] au stars ambao tayari wanajulikana, na kuwa ametoa hati punguzo kwa kutengeneza Beats (Mdundo) katika studio hiyo.
Nikki aliyasema hayo kupitia ukurasa wake wa Facebook huku akiambatanisha na namba zake za simu kwa ajili ya mawasiliano zaidi...

0 maoni:

Post a Comment

Labels