Pages

Wednesday, February 20, 2013

[PHOTOS] Exclusive: AliKiba Na Ommy Dimpoz Kwa Pamoja Katika SPORAH SHOW, LONDON [Uingireza]..

 
Alikiba The Singer "Pop It In Music" CEO akiwa anaendelea na Valentine TOUR nchini UingerezaManchester United na Manchester City huko Manchester na kumalizia Birmingham City. baada ya kupiga show hometown ya
 
Muda huu ALIKIBA akiwa ameshajumuika na OMMY DIMPOZ ambae ametua siku si nyingi zilizopita, wapo wanarekodi katika kipindi maarufu sana na kinachoangaliwa na waafrika wengi waishio nchini Uingereza, SPORAH SHOW kinachotengezwa LONDON, UK.
 
Kwa mujibu wa waandaaji wa Valentine TOUR, CEO wa Bongo-UK Entertainment, DJ Rule na ChrisLuv, the CEO of CHRISLuv Promotions wakiwa ni watanzania waliojikita shughuli zao za burudani nchini Uingereza wamesema kuwa Mastar hawa kutoka BONGO wapiga show ya pamoja tarehe 22 February 2013 katika mji wa MILTON KEYNES uliopo nje kidogo ya LONDON ikifatiwa na show nyingine ya Tarehe 23 February 2013 ndani ya LONDON ambayo ndo itakuwa show ya mwisho na stars hawa kurudi home.

0 maoni:

Post a Comment

Labels