Pages

Thursday, January 10, 2013

[AUDIO]:WAZO LA LEO NI NEW JOINT YA RAPPER STAMINA


Rapper kutoka Moro Town anayetamba na ngoma zake kali kama Najuta Kubalehe, Kabwela, Moro Moro na nyingine nyingi si mwingine ni Stamina yuko mbioni kuachia ngoma yake mpya ambayo ameshirikiana na rapper kutokea Mwanza maarufu kama Fid Q.

Track hiyo ambayo ni moja ya tracks ambazo zitakuwemo katika album mpya ya Stamina, Ngoma hiyo ndiyo iliyobeba jina la Album 'Wazo La Leo' na anatarajia kuiachia wiki hii katika Media na Blogs mbalimbali.

0 maoni:

Post a Comment

Labels