Msanii wa Rap/Hip-Hop Joh Makini ambaye anatokea kwenye kundi la Weusi, na kufanya vizuri na baadhi ya ngoma zake kama Bye Bye, Stimu Zimelipiwa na nyingine nyingi, hivi karibuni ataachia video yake mpya inayokwenda kwa jina la ''KI-UTU UZIMA'' ambapo mzigo mzima umesimamiwa na kampuni ya I-View Studios.
สมัคร wing888 VIP เว็บตรงคุณภาพสูง และบริการคุณภาพ
2 months ago
0 maoni:
Post a Comment