Pages

Sunday, January 13, 2013

UJANA NI UJIO MPYA WA LAWIZE ENTERTAINER KWA MWAKA 2013


Msanii anayefanya poa na kazi ya Leo Leo si mwingine ni Lawize Entertainer yupo Studio za Mazuu Record's kwaajili ya kutengeneza ngoma mpya ambayo inatarajiwa kuachiwa mwezi wa pili mwanzoni.

Katika wimbo huo amewashirikisha wasanii wawili ambao wanafanya poa katika game ambao ni Rich Mavoko ambaye anafanya poa na kazi zake kama One Time,Mapenzi na zingine nyingi pamoja na Shino Style au PNC naye anafanya poa na kazi yake inayoenda kwa jina la Imebuma.

Lawize amesema amewashirikisha wawili hao ilikuleta ladha tofauti na ushindani kutokana na wote wanaweza na ngoma inaitwa UJANA.

0 maoni:

Post a Comment

Labels